Lina Sanga wa THT na Debanj!

Lina Sanga wa THT na Debanj!

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Ee bwana eeeee! Hilo ni bonge la ubunifu usipime babakee. Hapo nakupa tano kwa mara ya kwanza. Mwanzo mwisho mpelampelaaaaaaa! Umetishajee mamake.
 
amesubiri ametafuniwa ye akaishia kumeza af unaita ubunifu.huo ni udhaifu
 
Ee bwana eeeee! Hilo ni bonge la ubunifu usipime babakee. Hapo nakupa tano kwa mara ya kwanza. Mwanzo mwisho mpelampelaaaaaaa! Umetishajee mamake.
sweety eeh tuweke sawa kidogo wengine bado chenga hatujaelewa
 
Ee bwana eeeee! Hilo ni bonge la ubunifu usipime babakee. Hapo nakupa tano kwa mara ya kwanza. Mwanzo mwisho mpelampelaaaaaaa! Umetishajee mamake.

hebu jaribu kufafa nua habari yako sweetie
 
amtoa songi lake kwa ajili ya fiesta ila ni copy na kupest full kusifia wasanii, eti anampenda Diamond coz diamond anampenda Wema sijui vitu gani huko mbele mwingine aendelee
 
mimi kwa upande wangu ile nyimbo sijaipenda kwasababu zifuatazo.
Kwanza anaimba nje ya key, yani beat na sauti havivaani yeye anaimba key ya juu zaidi ya key so vocal inakuwa kama inaelea flani.
Pili sijaona kama ameitendea haki nyimbo kwakuwa still nyimbo ya dbanj ukiringanisha na ya reena ya dbanj iko juu, ningependa zaidi kama ya reena ingekuwa nzuri zaidi au angeongeza ubunifu zaidi.
Ni hayo tu.
 
Who is reena mkuu?
 
viswahili vingine vigumu!
 
wewe ukitafuniwa...ukawekewa mdomoni...ukaambiwa haya sukuma iende tumboni...utaweza?

za masiku mwanayumba ummu kulthum

nzuri!af punguza kula,yaan kama alivyofanya linah sanga anameza tu hana shinda ya kutafuna!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom