Lina simama tu!

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
355
Reaction score
36
Kuna kijana ameniomba ushauri lakini nimekwama kwani sio mjuzi sana, ana miaka23 lakini cha kupendeza hajawahi kuingiliana na mwanamke! Siku za karibuni uume wake umekuwa ukisimama kwa muda mrefu kiasi kwamba hawezi kuchomekea na kupita mbele za watu, hata asipokuwa na mawazo ya mapenzi bado mbegu zinamtoka tu, hajui afanyeje! Nawasilisha kwa niaba yake.....!%*¥¤..!
 
Hiyo ni nature! Huwezi zuia nguvu za asili.

Afanye 'evacuation' maana yake asichomekee.

Hivi ulishawahi pitia mambo ya volcanoes?
Erruption lazima zitokee kupunguza pressure na temp katika dunia

Same principle applies.

Note: Anasubiri nini kuanza?
 
Kongosho unamfundisha mtoto mambo mabaya weye.!
 
Kwanza mpe pole sana.

Pili mwambie ajikeep bize na apunguze kula mavyakula meeeeeeengi wakati hana shuguli nzito anazofanya. Pia azingatie mazoezi.

Akishindwa vyote na AOWE
 
Kwanza mpe pole sana.

Pili mwambie ajikeep bize na apunguze kula mavyakula meeeeeeengi wakati hana shuguli nzito anazofanya. Pia azingatie mazoezi.

Akishindwa vyote na AOWE
ndo yupo chuo mwaka wa pili ningumu kuoa!
 
vi2ko vingi nawe lkn seriously dogo anatia huruma kibaya zaidi ni msimamo na anaogopa MAJANGA!
 
CHAMA CHA PUNYETO TANZANIA(chaputa)
Hivi ichi chama inakuwaje mtu anajiunga,me nakumbuka ilinitokeaga ghafla tu nikajokuta ni mwanachana,ckujifunzaga wala cikuambiwa na mtu!
 
Hivi ichi chama inakuwaje mtu anajiunga,me nakumbuka ilinitokeaga ghafla tu nikajokuta ni mwanachana,ckujifunzaga wala cikuambiwa na mtu!

kha! Nyie vijana mbona hivyo tena! Ngoja nianzishe uzi juu ya madhara ya punyeto!
 
THE only way to solve ni mazoezi, Afanye mazoezi especially ya kukumbia!! Trust me ata overcome all of those feelings..
mimi mwenyewe i do running exercise, for the purpose of getting rid of belly and pia kuondoa sexual feelings

All the best
 
thanx for ur advice!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…