Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
Kuna kijana ameniomba ushauri lakini nimekwama kwani sio mjuzi sana, ana miaka23 lakini cha kupendeza hajawahi kuingiliana na mwanamke! Siku za karibuni uume wake umekuwa ukisimama kwa muda mrefu kiasi kwamba hawezi kuchomekea na kupita mbele za watu, hata asipokuwa na mawazo ya mapenzi bado mbegu zinamtoka tu, hajui afanyeje! Nawasilisha kwa niaba yake.....!%*¥¤..!