Linah akiri 'kubanjuka' na Wizkid hotelini

Anafanana na mama matukio a.k.a tiba,ana wa tibaijuka,mi nikimuona tu mama dili namfananisha sana na lina kweli duniani wawiliwawili.
 
Kwa hiyo anataka kunihakikishia kwamba atazaa Gold au ikishindikana kabisa Tanzanite?
 
Na akome ndo aisome namba kwa kumtosa amini hiyo ndo rahana inazidi kumtafuna
 
Naona sasa hivi wasanii kujizushia kashfa ndio deal itakua anatoa single wiki hii
 
Ama kweli hii ni 'kiki' kama neno la mwanzoni mwa habari, ndo naanza kumsikia bongo celeb wa kwanza kukiri kufanya mapenzi na mtu flani.
Nimeukumbuka wimbo wa 'Nitoke vipi' wa Bwana Misosi.
 
wacha mi niwe na wachochosha tu
 
huyu Linah kila akijitahidi kuwa mzuri inashindikana sijui tatizo nini? maana kajitahidi kuvaa viguo vifupi wee wapii watu hawajastuka sasa naona anakuja na style ya kujibinua lkn napo wapii...
hivi kuna mwanamke wa kihehe/kibena ambae ni mzuri?
 
yule bugeme ndugu wa mrs simba vipi alifunua akasepa mkome kujipendekeza mtu akijita tu tajir mna mdandia kumbe tajir wa maneno sio pesa mganda kaubunyua wee kasepa midemu ya bongo bwana u star kunuka hauwafaidishi.
 
series episode
 
Mwongo huyo mtoto ,hiyo insta direct aliyokua anatumia kuwasiliana nae mwanzo kwanini asitumie sasa hivi ?? Nimeamini haya maneno watch the company you keep ,anashinda na kina Masogange ataacha kuuza Nyapu ,au sijui kuwagombania ma star ??
 
Duh,jamaa kanyaka ubuga halafu hakuna colabo wala nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…