Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Because we are kindred spirits...[emoji6]Mawazo yako mengi huwa ni kama yangu!
Maana nami huwa nawaza hivyo hivyo.
Watu wengine wanavyoongea utadhani huyo jamaa yeye hana usemi wowote...hana uamuzi wowote...yaani ni kama msukule flani hivi.
Nadhani wanaotoa habari wanapotosha sana kiasi kwamba kuifanya habari yote ionekane ya kijinga.
Lakini kama kweli kuna watu 'wanachukuliwa' basi ni hatari.