Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Because we are kindred spirits...[emoji6]Mawazo yako mengi huwa ni kama yangu!
Maana nami huwa nawaza hivyo hivyo.
Watu wengine wanavyoongea utadhani huyo jamaa yeye hana usemi wowote...hana uamuzi wowote...yaani ni kama msukule flani hivi.
Binadamu mzima, mwenye akili timamu na utashi atachukuliwaje?Because we are kindred spirits...[emoji6]
Nadhani wanaotoa habari wanapotosha sana kiasi kwamba kuifanya habari yote ionekane ya kijinga.
Lakini kama kweli kuna watu 'wanachukuliwa' basi ni hatari.
Hapo sasa....Binadamu mzima, mwenye akili timamu na utashi atachukuliwaje?
Ye mwenyewe hataki kuwa kwenye uhusiano na huyo binti?
Kubadilishana Mbinu Tu Halafu SafariWanabadilisha ujuzi na size..