amevaa sawa kama zamani,sababu ni fupi sana hivyo ndio wazee wetu walikuwa wanavaa kabla ya wakoloni namsifu kwa kuendeleza mila.
Tanzania hakuna sheria ya kumzui mtu kuvaa nguo fupi au ndefu,hizo sheria zako peleka uko kwa waarabu
Situmii nguvu sana kubishana na ww coz mtu ambaye elim yake ni duni ndoo maana unaiga kila kitu,usha wahi kuona mzugu anatafuta nywele za africa?
mimi pia sibishana kama unaona umeuzika huyu kuvaa nguo fupi nenda kashtaki polisi,kila nguo ina mahali pake,ulitegemea hapo avae nini? acha kucomplicate maisha
Tatzo mfupi
Toka lin wanashitaki police?
Wakuu huyu binti nasikitika sana analeta aibu kwa familia yao kwa vivazi vyake baba yake ni pastor na zaidi ya yote hapo nyuma linah alikuwa muinbaji mzuri kanisani kabla hajaasi
mmmh!!! amelalamika shy land hzo nguo zinapunguza nguvu za kiume. ngoja aje..
mnapinga nn nyie ni mira ya afrika kucheza na chupi? Au hamjui mwl nyerere aliita shule za msingi na cyo shule tu achen kusifia ukahaba bhana au huna dada(fundisha kama unaye na kama huna wapo wanduguzu)
Situmii nguvu sana kubishana na ww coz mtu ambaye elim yake ni duni ndoo maana unaiga kila kitu,usha wahi kuona mzugu anatafuta nywele za africa?
ulitaka aimbe amevaa bui bui? mzazi wake ajalalamika we ndio unalalamika.Yupo kazin hapo
mila ya Afrika kwanza sio kuvaa nguo ni kuziba kikojoleo tu na magome na kifuani ni wazi kama ushawaona bush men wanavyovaa au wale wahazabe,hizi nguo ameleta mzungu si utamaduni watu
Acha kusifia ujinga,ww kilaza