Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimbukeni tu kwa kwelilinah ananiboa sio kama alivyokuwa zamani alikuwa anavaa kiheshima ila sasa hivi anavyovaa binafsi ananikera sijui ndo ulimbukeni au ndo kutuonesha kuwa kabarikiwa. ajitulize kama zamani maana anavyojiharibia sifa hadi namwonea huruma
Hivi kumbe kuna kushikwa haswaa ndo kupojeHuwezi jua Nifaha anaweza olewa mana kamshika haswaa mwanaume
Ataishia tu kuvaa lady pepeta.....Lina sijui ataiva lini.
Bwana weeee wapo waliowashika na wakaachika vilevile.Huwezi jua Nifaha anaweza olewa mana kamshika haswaa mwanaume
Kama Gigy/Tunda vurugu tupu!Siku hizi ukiwa malaya maarufu automatically unajiona superstar!
jamani watu wangine mnawapa kiki tu hawaeleweki wamefanya nini me ndo namsikia wabaki kuw machawaWe ni mwanaume wa mkoani?
Asante kwa kuliona hilo.Kama Gigy/Tunda vurugu tupu!