Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Kuzaa na Mme wa Mtu imekuwa Deal eeeh tabu ni pale atakapo Dead
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...kama kuna kupendeza/kuvutia kuliko hivyo ninavyomuona basi labda Mtu aniambie nina 'uoni hafifu'.Me binafsi simpendi linah, hivi cjui nani huwa anam make up, huwa hapendezi kabisa na sibarikiwi na mwonekano wake
Hata akiolewa pia hajamaliza wanaume wenyewe ndo hawa mguu ndan mguu njeHivi huyo anayejiita Mrs. Superstar kuzaa ndio anaona kamaliza?
Aolewe kabisa basi?
Wadogozake na bashiteNdio wakina nani hao?
wanaume wenyewe ndy cc wenye bongoHuwezi jua Nifaha anaweza olewa mana kamshika haswaa mwanaume