Linah na shoga ake wamaliza tofaut zao

Alaf mimi ananiuzi akiwa kwenye interview bada ya sentensi moja yeah akiongea kidogo yeah jamaan lazima tuige uzunguu
[emoji23][emoji23][emoji23] mazoea mama.
Japo sijawahi msikia Linah akitema Yai.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mazoea mama.
Japo sijawahi msikia Linah akitema Yai.
Wallah Nifah siku ukibahatika kuona interview utabadili chanel na sio mara moja kila baada ya sentensi yeah or yaah
 
Siku hizi kuzaa bila ndoa fashion ehhh haswa mwanaume akiwa na vijichenji
Naona fashion kwa wadada wa mjini tutajuaje kama mayai hawajakaangia chips [emoji28][emoji28]
 
Me binafsi simpendi linah, hivi cjui nani huwa anam make up, huwa hapendezi kabisa na sibarikiwi na mwonekano wake
 
linah ananiboa sio kama alivyokuwa zamani alikuwa anavaa kiheshima ila sasa hivi anavyovaa binafsi ananikera sijui ndo ulimbukeni au ndo kutuonesha kuwa kabarikiwa. ajitulize kama zamani maana anavyojiharibia sifa hadi namwonea huruma
Usisahau kuwa zamani alikuwa mwanakwaya kanisani... HIVYO UKWAYA KWAYA UMEMTOKA TARATIIBU HADI SASA UNAKARIBIA KWISHA KABISA
 
Wallah Nifah siku ukibahatika kuona interview utabadili chanel na sio mara moja kila baada ya sentensi yeah or yaah
Script inahusika... umewahi sikia watu wanaoongea kwa script..? wengine hadi mgegedoni full script..NaNa wakishazowea sana script, hadi kwenye ndoa wanaishi kama wapo LOCATION
 
Mwenye namba ya linah plz, its urgent
 
Script inahusika... umewahi sikia watu wanaoongea kwa script..? wengine hadi mgegedoni full script..NaNa wakishazowea sana script, hadi kwenye ndoa wanaishi kama wapo LOCATION
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umeua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…