Linah na shoga ake wamaliza tofaut zao

Me binafsi simpendi linah, hivi cjui nani huwa anam make up, huwa hapendezi kabisa na sibarikiwi na mwonekano wake
Duh...kama kuna kupendeza/kuvutia kuliko hivyo ninavyomuona basi labda Mtu aniambie nina 'uoni hafifu'.
 
Hivi huyo anayejiita Mrs. Superstar kuzaa ndio anaona kamaliza?
Aolewe kabisa basi?
Hata akiolewa pia hajamaliza wanaume wenyewe ndo hawa mguu ndan mguu nje
 
Huyu dem nae skuhiz mashauz ndo yamezd

Zamali alikua chopaa ya
Heshima,bhana
 
Yaani sshv kuzaa bila ndoa ndo fashion,tena na waume za watu!?
Nahurumia hao watt tu,manaake malezo yao ni shida tupu,ndo hawa wanaosuka ,kuvaa heleni...nk manaake kukosa malezi ya baba lzm mama awe anajitambua haswaa! Ss wamama wenyewe ndo hawa wasanii ,sijui...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…