sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 183
Lina sanga ameanza safari yake ya muziki na kutambulika Tanzania tangu mwaka 2010 mwezi august alipotoa wimbo wake wa kwanza “Atatamani” na ulimfanya apendwe mithili ya twiga mwenye maringo na madaha ya kupenda kula majani yenye maua mazuri ya uarid
lina sanga hakuridhika kwa jina kubwa kama ilivyokuwa kwa mfalme simba alipojihisi kujwa na sauti yenye mungurumo mkubwa kuliko wanyama wote msituni alizidi kutoa vibao vikali zaidi na kutetemesha tasnia ya mziki kwa nyimbo zake “bora nikimbie, “Angalau” “Tumetoka mbali” “Fitina” na nyingne zilizobamba masikioni mwa wapenda muziki
Vannesa mdee yeye aliwasha gari ya muziki "Closser” Juni 2012 lakini kuwepo kwa hali ngumu ya maisha na kutegemewa na familia na ndugu zake huenda ndo sababu ya kumwambia Vanessa "HONGERA" kuvunja uzio wa muziki mpaka sasa ameshiriki project na wasaniui wakike kutoka barani afrika
Tangu vannesa ameanza kuimba ni miaka 4 lakini ana mafanikio yasiyofikiwa na mwanamuziki wa kike ambayo kwa maoni yangu nina sababu ya kusena Lina UNANIKERA kwa kuwa ana MBAWA LAKINI ZIMENYONYOKA.
Ni Ukweli usiopingika Lina ni msanii mzuri wa uimbaji kuliko Vanesa, Na anauwezo wa kupata mafaniko zaidi ya aliyoyapata Vannesa, lakini kutokana na juhudi anazozifanya vannesa zinamfanya aonekane yeye ni zaidi ya lina
[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]