Linah unanikera, una mbawa lakini zimenyonyoka, hongera Vanessa Mdee

sangujoseph

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
164
Reaction score
183
Lina sanga ameanza safari yake ya muziki na kutambulika Tanzania tangu mwaka 2010 mwezi august alipotoa wimbo wake wa kwanza “Atatamani” na ulimfanya apendwe mithili ya twiga mwenye maringo na madaha ya kupenda kula majani yenye maua mazuri ya uarid

lina sanga hakuridhika kwa jina kubwa kama ilivyokuwa kwa mfalme simba alipojihisi kujwa na sauti yenye mungurumo mkubwa kuliko wanyama wote msituni alizidi kutoa vibao vikali zaidi na kutetemesha tasnia ya mziki kwa nyimbo zake “bora nikimbie, “Angalau” “Tumetoka mbali” “Fitina” na nyingne zilizobamba masikioni mwa wapenda muziki

Vannesa mdee yeye aliwasha gari ya muziki "Closser” Juni 2012 lakini kuwepo kwa hali ngumu ya maisha na kutegemewa na familia na ndugu zake huenda ndo sababu ya kumwambia Vanessa "HONGERA" kuvunja uzio wa muziki mpaka sasa ameshiriki project na wasaniui wakike kutoka barani afrika

Tangu vannesa ameanza kuimba ni miaka 4 lakini ana mafanikio yasiyofikiwa na mwanamuziki wa kike ambayo kwa maoni yangu nina sababu ya kusena Lina UNANIKERA kwa kuwa ana MBAWA LAKINI ZIMENYONYOKA.

Ni Ukweli usiopingika Lina ni msanii mzuri wa uimbaji kuliko Vanesa, Na anauwezo wa kupata mafaniko zaidi ya aliyoyapata Vannesa, lakini kutokana na juhudi anazozifanya vannesa zinamfanya aonekane yeye ni zaidi ya lina

[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]
 
Hii SMS itakuwa imepotea au Lina na Vanessa waliotumiwa hapa ni dhahania?
 
Vanessa yuko exposed mkuu. Anaweza kuwasiliana na watu aina tofauti tofauti ukilinganisha na Lina japo kiukweli anaweza zaidi kuimba
 
Kwel kila mtu ana sikio lake la Muzik
 
Dah!Sijui nichangie lipi hapa...naona Nina mengi sana ni bora nipige kimya tu.
 
Vanessa huyu huyu ndio alikua na hali ngumu kwa kutegemewa na familia? Unamzungumzia familia ya mdee?
Kafanye utafiti kwanza wa hii familia kama inaweza kumtegemea vanessa
Ila kupitia mgongo wa Jux bibie kafanya makubwa zaidi ambayo asingeweza kuyafanya kabla ya kuwa nae.
Nikutonye tu Jux ndiye anayegharamia videos na kila kitu cha Vanessa kwa sasa.
Period.
 
kwa hyo Vanessa bila JUx haiwezekani??? japo najua we2 ni mama wa kutuletea ubuyu, lKn kw hili siliamin
..
 
Ila kupitia mgongo wa Jux bibie kafanya makubwa zaidi ambayo asingeweza kuyafanya kabla ya kuwa nae.
Nikutonye tu Jux ndiye anayegharamia videos na kila kitu cha Vanessa kwa sasa.
Period.
huyu jux kitu gani kinachomuingizia pesa video zake ni gharama sana tangu anaanza muziki
 
Lina sanga ameanza safari yake ya muziki na kutambulika Tanzania tangu mwaka 2010 mwezi august alipotoa wimbo wake wa kwanza “Atatamani” na ulimfanya apendwe mithili ya twiga mwenye maringo na madaha ya kupenda kula majani yenye maua mazuri ya uarid

lina sanga hakuridhika kwa jina kubwa kama ilivyokuwa kwa mfalme simba alipojihisi kujwa na sauti yenye mungurumo mkubwa kuliko wanyama wote msituni alizidi kutoa vibao vikali zaidi na kutetemesha tasnia ya mziki kwa nyimbo zake “bora nikimbie, “Angalau” “Tumetoka mbali” “Fitina” na nyingne zilizobamba masikioni mwa wapenda muziki

Vannesa mdee yeye aliwasha gari ya muziki "Closser” Juni 2012 lakini kuwepo kwa hali ngumu ya maisha na kutegemewa na familia na ndugu zake huenda ndo sababu ya kumwambia Vanessa "HONGERA" kuvunja uzio wa muziki mpaka sasa ameshiriki project na wasaniui wakike kutoka barani afrika

Tangu vannesa ameanza kuimba ni miaka 4 lakini ana mafanikio yasiyofikiwa na mwanamuziki wa kike ambayo kwa maoni yangu nina sababu ya kusena Lina UNANIKERA kwa kuwa ana MBAWA LAKINI ZIMENYONYOKA.

Ni Ukweli usiopingika Lina ni msanii mzuri wa uimbaji kuliko Vanesa, Na anauwezo wa kupata mafaniko zaidi ya aliyoyapata Vannesa, lakini kutokana na juhudi anazozifanya vannesa zinamfanya aonekane yeye ni zaidi ya lina

[HASHTAG]#kijanamzalendo[/HASHTAG] [HASHTAG]#ilovetz[/HASHTAG] [HASHTAG]#maoniyangu[/HASHTAG]
clouds washamtema?
clouds watakuwa wamemtema katoa nyimbi yake sisikii chochote wasanii wachezee efm sio clouds mashabiki waliopo mkoani ndo wanashobo na wasanii
 
huyu jux kitu gani kinachomuingizia pesa video zake ni gharama sana tangu anaanza muziki
Mama yake mkuu,achana na tetesi za unga sijui nini.
Bi mkubwa wake ndio anafadhili fujo zote za Jux mjini hapa.
Usiniulize mishe anazopiga mama yake...
Ila kwa awamu hii nadhani bomba la mama la pesa linasuasua maana kitengo chake kina hali mbaya.
Labda kama aliwekeza kwenye miradi ya maana.
 
Vanessa huyu huyu ndio alikua na hali ngumu kwa kutegemewa na familia? Unamzungumzia familia ya mdee?
Kafanye utafiti kwanza wa hii familia kama inaweza kumtegemea vanessa
Kwani ukiwa familia ya Mengi maana yake ni kwamba ndugu zake wote ni wanakula mana na asali ? Baada ya kifo cha Mzee Mdee unajua ni mangapi watoto na mama yao wamepitia ?
 
Vanessa huyu huyu ndio alikua na hali ngumu kwa kutegemewa na familia? Unamzungumzia familia ya mdee?
Kafanye utafiti kwanza wa hii familia kama inaweza kumtegemea vanessa
Si ndo hapo mm mwenywe nimeshangaa,
 
Ila kupitia mgongo wa Jux bibie kafanya makubwa zaidi ambayo asingeweza kuyafanya kabla ya kuwa nae.
Nikutonye tu Jux ndiye anayegharamia videos na kila kitu cha Vanessa kwa sasa.
Period.
nifah
jux kwa pesa gani?????
 
Back
Top Bottom