Linah unanikera, una mbawa lakini zimenyonyoka, hongera Vanessa Mdee

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niambie mama,huenda unajua zaidi.
Jux ana maisha mabovu?Hana pesa?
maisha mazuri anayo sana tu..
lakini sio ndo kusema video za vanesa na zake zote anagaramia ..
nakataa
yeye mwenyewe alisema anamshukuru vanessa kwa kumsaidia baadhi ya mambo mpaka kufikia hapo alipo...
 
maisha mazuri anayo sana tu..
lakini sio ndo kusema video za vanesa na zake zote anagaramia ..
nakataa
yeye mwenyewe alisema anamshukuru vanessa kwa kumsaidia baadhi ya mambo mpaka kufikia hapo alipo...
Sikiliza,Vanessa kumsaidia Jux labda connections tu.
Maana Vanessa amefanya kazi katika vyombo vya habari vikubwa na Exposure anayo.

Ila katika suala la gharama za video anazofanya Vanessa baada ya kuwa na Jux zinagharamiwa na Jux.
Hutaki acha,sikulazimishi kuamini.

Ova
 

pole bna, hadi mapovu yanakutoka, utadhani askari amenyimwa Pesa ya kubrashia viatu..
 
Jux pamoja na maza ake kuwa na mkwanja alimuunganishia na madeal China... Jux ana mbumba hatari na anamalizia mgorofa wake wa floor mbili, na miradi kibao!
 
....Jack cliff ( yule aliyekamatwa China)+ Jux =?
 
Niffah unatisha ati bomba la mama ake linasuasua lo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli tena.Kile kitengo chao hali ni mbaya.
Period
Yaah! Kama ndio vile vitengo vyao kwa msimu huu vipo hatarini mno havina nguvu vimebanwa mno maana mzee mwenyewe hadanganyiki kakaza mbaya!
 
Ila kupitia mgongo wa Jux bibie kafanya makubwa zaidi ambayo asingeweza kuyafanya kabla ya kuwa nae.
Nikutonye tu Jux ndiye anayegharamia videos na kila kitu cha Vanessa kwa sasa.
Period.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] safi sana!
 
Mama ake jux anapiga deal gani?tupeni umbea huoo!!
 
**kupatwa kwa thread**
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…