Linah unanikera, una mbawa lakini zimenyonyoka, hongera Vanessa Mdee

Linah unanikera, una mbawa lakini zimenyonyoka, hongera Vanessa Mdee

Mkuu uliona wapi msanii akatoboa kimataifa kutokea THT? Bora THT waitaifishe WCB sasa. Kwa Vipaji vilivyoko THT ukiachilia Linah, ni aibu hata nominations za East Africa tu wanakosa. [emoji13]
 
Back
Top Bottom