Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Utanitafuta au Unataka kununua? eleweka Meeen...!
Unataka alinunue hapa JF kwenye huu uzi..!!? Unataka alinunue bila kukutafuta..!!? Unataka alinunue bila hata kuliona..!!?
Yaani unataka ulivosema tu una guta unauza milioni basi atume hela alinunue.
Najua unaakili zaidi ya hiyo, najua unajua anatakiwa kuliona kwanza, najua unajua alihitaji japo picha yake.
Samahani, namimi nahitaji guta ndomaana nilitegemea details hapa, walau na picha.