Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu huyo mama wa mwanao ana umri gani? pia ana asili ya wapi? Huwenda usichana unamsumbua ila pamoja na hayo cdhani kama kuna haja uvumilivu zaidi kwa lipi hasa?
Naona harufu ya ukabila hapo
Kabila la nini tena?? Linahusiana vipi na tatizo lake?, hakuna kabila lenye watu wenye tabia mbaya wote , kila kabila limechanganya watu wenye tabia mbaya na nzuri. Mbona sikuelewi puza kabila linahusika vipi katika hili????.
Mi naona unachanganya mada,,,jaribu kusoma tena maelezo ya fastafasta utamwelewe ana tatizo gani.
Puza acha kuendekeza mambo ya ukabila siyo vizuri hasa karne hii tuliyonayo, pia nahisi hautashia kwenye ukabila tu, bali utaenda kwenye dini,rangi, na mengine mengi ambayo siyo mazuri ktk karne hii.
Naona harufu ya ukabila hapo
jamani tusemeni tu ukweli kuna makabila hapa tanzania hayaingiliki, kwa leo naomba nisiyataje, ila ni vizuri kabila hujafanya chochote kihusucho mahusiano umuombe mungu na pia uwaulize wakubwa. Nina ndugu yangu aliuliwa watoto wawili kinyama na mwanamke wa kanda fulani sitaitaja. Mwanamke alikiri siku na kuomba msamaha siku alipougua sana na kujua hataishi na anakaribia kukata roho. So watch out, women are more than what you see with your nacked eyes.
i see !