Uchaguzi 2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

Ungekuwa wa HAKI, CCM asingepata Jimbo lolote Dar
Sasa kwahiyo 2015 ccm waliamua tu kuyaachia hayo majimbo ndio maana upinzani ukashinda? Au ilikuaje hebu weka sawa hapo tuelewane.
 


Dar es salaam ni Rahisi kuishika.

Ukishamshika Mkono Shekhe mkuu wakoa wa Dsm.
Ukamshika mkono Malasusa.
Ukamshika Mkono Pengo.
Ukamshika Mkono Gwajima.
Ukamshika mkono Mzee wa upuku, unakua umeshamaliza jiji lote na huna la ziada hapo.

Hao ndio viongozi wa dini wanaoruhusiwa kupiga kampeni kwenye nyumba za Ibada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…