SoC02 Linda Afya yako kabla ya kupata magonjwa

Stories of Change - 2022 Competition

Kisesa2022

Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
18
Reaction score
11
Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya vizuri ndio mtu anaitwa mgonjwa.

Chanzo cha afya ni vyakula mbalimbali na kutengeneza kinga za mwili kwa kutumia lishe ya chakula unachokula kwa kupika, chakula kizuri chenye virutubisho ili kuzuia magonjwa mbalimbali yasiyoshambulia kinga za mwili mfano wa vyakula hivyo ni matunda, nafaka jamii ya karanga na mbogamboga.

Ili kulinda afya yako inatakiwa kufanya mazoezi ambayo yatakusaidia kufanya shughuli na kulinda mwili. Kuboresha zaidi afya Yako ni kufanya mazoezi ya polepole bila kutumia nguvu kama hakuna mafanikio fanya mazoezi kwa nguvu lakini sio mpaka utakapoishiwa pumzi.

Vitu ambavyo vinafanya afya Yako kuwa bora zaidi ni;
Maji ;
ni muhimu kwa kulinda afya Yako kwasababu mtu anapokunywa maji mengi ya kutosha yanafanya Kupunguza magonjwa mbalimbali, daktari anashauri mtu kunywa maji lita tano kwa siku ili kutoa taka mwili vizuri na Kupunguza magonjwa . Mtu atakunywa maji vizuri. Maji yanafanya figo kufanya kazi vizuri na Kupunguza joto la mwili.

Mwanga wa jua ; husaidia afya ya binadamu kwa kuzalisha vitamin D .Vitamin D ni kiini lishe hiki cha msingi husaidia kudhibiti homoni za mwili na ukuaji wa seli. Ili kuwa na afya bora unaweza kuangalia mtindo bora wa maisha na afya Yako kulingana na kiasi chako unachozalisha kwa kunipa mtindo mzuri wa kula chakula bora chenye rishe.

Hewa ; ni msingi sana katika afya ya binadamu kwa sababu binadamu anavuta hewa safi na kutoa hewa chafu. Uchafuzi wa hewa husababisha maradhi na vifo kwa binadamu.
Kupumzika ; Utafiti wa kisanyansi unasema binadamu anatakiwa kupumzika kwa masaa manane kwa siku kwa kulala usingizi mzuri usiku ili kupisha mwili kufanya kazi vizuri kwa ufanisi .

Imani ; Mungu ndio kila kitu katika hii duniani ,mtu hasipokuwa na imani ya mungu hatakuwa na afya kwa sababu ya msongo wa mawazo ,hofu na hatia hupunguza nguvu Yako ya kiafya na husababisha magonjwa kwenye mwili binadamu. Imani ya mtu inaongozwa kwa kusoma vitabu vya dini mfano biblia na Qur-an kila siku.

Chanzo cha kutokuwa na afya bora ambavyo ni ;
Kukaa kwa muda mrefu;
Binadamu anapokaa kwa muda mrefu anaweza kusababisha athari ya kupata magonjwa na kusababisha kifo.mfano mtu akikaa zaidi ya masaa 4-6 inawezekana kuhatarisha maisha kwa asilimia 50.

Ulaji wa vyakula visivyo kamilisha mlo kamili; Binadamu hasipokula mlo kamili inaweza kusababisha kutokuwa na afya bora . Binadamu hakikosa ulaji wa mboga , matunda na mchanganyuko wa vyakula muhimu ambavyo mwili unahitaji.

Msongo wa mawazo ; chango kutokuwa na afya bora kupelekea kupata mawazo kupitia kiasi kwamba kusababisha kupata magonjwa mengi kama vile stress na ugonjwa wa moyo .

Suluhisho ili uwe na afya bora ambayo ni;
Kupunguza msongo wa mawazo;
Ili kuwa na afya bora ni Kupunguza mawazo kwa binadamu , mawazo yanafanya mtu kuaribu afya yake lakini hasipokuwa na mawazo huwa na afya bora.

Kula mlo kamili ; mlo kamili ongeza afya bora kwa kula chakula bora kwa kwa wakati sahihi na muda sahihi wa mtu ambaye anataka kula mlo kamili hivyo nasi mlo kamili husaidia mtu kuwa na afya bora.

Kuchunguza afya yako mara kwa mara hasa ; Mtu unapokuwa hujisikii vizuri basi akacheki afya yake Ili ajue tatizo zaidi kwa kwenda hospitalini sio kunywa dawa za kupunguza maumivu madogo madogo ya mwili inaweza kusababisha kupata sumu mwilini kwa kunywa dawa bila kupima .

Umuhimu wa afya katika mwili wa binadamu ni;
Husaidia kuwa na furaha ;
Afya inakufanya kuwa na furaha wakati wote sababu binadamu anakuwa na afya ,anaondoa msongo wa mawazo katika maisha yake ya kila siku.

Husaidia kuongeza maendeleo; Kila mtu akiwa na afya bora basi kutakuwa na maendeleo katika jamaii kwa sababu kila mmoja anafanya kazi na kuzalisha kwa wingi bidhaa kulipa kodi katika serikali na serikali kuleta maendeleo kwa watu wake.

Kupunguza vifo na magongwa; binadamu akiwa na afya basi idadi ya vifo na magongwa kwa watu inapungua kwa sababu kila mmoja anapata lishe au vitu vinavyosababisha awe na afya bora.

Kuongeza uwezo wa kufikiri; Binadamu akiwa na afya bora basi atafiKiria changa muda wote sababu hana mawazo mengi ya kupelekea hawaze changa kuliko hasi na kusaidia kutatua matatizo mbalimbali ya jamii kwa kutoa suluhisho bora la tatizo hilo.

Hasara za kutokuwa na afya bora kwa binadamu ni;

Kinga za mwili kushuka ;
binadamu hasipokuwa na afya bora anaweza kinga za mwili kushuka na kusababisha magonjwa hadi kifo kwa magonjwa yafatayo kisukari,kansa na uvimbe wa ndani ya mwili hasa kwenye kizazi.

Kupata magonjwa ya mara kwa mara ; Mtu hasipokuwa na afya bora kupata magonjwa mara kwa mara sababu hana kinga za mwili hivyo basi magonjwa mengi .
Kuwa na hali duni ya kimaisha; mtu hasipokuwa na afya bora basi mawazo mengi upelekea kutofanya kazi kwa kuwaza afya kila siku .

Kutokuwa na maendeleo katika jamaii; Mtu hasipokuwa na afya bora hawezi kufanya kazi na hasipofanya kazi hatalipwa kodi na kupelekea serikali kutopata mapato kwa mtu mmoja mmoja.

Kushindwa kuondoa sumu mwilini; Binadamu hasipokuwa na afya bora upelekea kupata sumu mwilini kwa sababu kinga zake zimeshuka na kufanya kulelewa kifo au magonjwa ya mara kwa mara.

Hivyo basi kila mtu azingatie afya yake kwa kula vyakula vizuri vitamin, protein na fat ili Kuboresha mwili na epuka kunywa dawa bila husibitisho wa daktari kuwa unaumwa ,ukifanya hivyo mwili wako utatengeneza sumu na sababisha magonjwa pia tule virutubisho ili Kuboresha afya zetu kwa sababu kinga ni bora kuliko tiba.
 
Attachments

Upvote 7
Unazungumziaje kwa wale ambao wanatamani kuwa na afya bora but wameshindwa kutokana na ugumu wa maisha?
 
Hii topic inahusu afya tu ,jinsi gani utarinda afya Yako kwa kutumia virutubisho mbalimbali vya kukinga mwili bila kujali masikini au tajiri ,sijaongelea umasikini au utajiri
 
Suala la maji hapo hapana ndg sio Lita Tano kwa kila mtu Bali inategemea uzito ulioko na nao, kama uzito ni mdogo at least 2 Lita kila kitu kiende kwa kipimo hata chakula ukizidisha aina fulani ni hatari.
 
Back
Top Bottom