Linda na Zari nani mzuri

Linda na Zari nani mzuri

Wote wameumbwa kwa sura na mfano wa mungu
 
Mimi ni she .ila nimeweka kwa Sababu wote ni wazuri na I was just curious.Kuna mtu aliandika Zari mzuri ajabu

Ungeweka picha tukaona ili tutor jibu sahihi. Ila zari ni nzuri zaid ya Linda.Linda anaukomavu flani hivi unaomfanya aonekane Mkubwa kwa zari. Na uzuri Wa Linda its bcoz ana hela. Angekuwa hivi hivi. Kama ni chau tuuu. Hawana tofauti
 
Back
Top Bottom