Linda Upendo wako

Linda Upendo wako

robbyr

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
129
Reaction score
221
Naomba nikueleze ukweli wako.

Kuna aliyekuumiza lakini hukupenda kulia hadharani ili usimfaye awe kumbukumbu za uchugu na majuto kwa sababu ulimpenda sana.

Naamini ulimfundisha tafsiri ya upendo. Ndo maana nikiutazama moyo wako naona jinsi upendo ulivyojaa.

Na kuna sauti inakunong'oneza kuwa Usimwambie mtu kamwe "nakupenda" ikiwa si kweli. Lakini ikiwa ni kweli, unahitaji kusema mara nyingi. Watu hawasahau

Linda upendo kwani ni wa thamani sana.
 
Back
Top Bottom