"Linda utajiri wako, ogopa umasikini " Mzee Abdul

"Linda utajiri wako, ogopa umasikini " Mzee Abdul

Hivi wameshindwa kumaliza matatizo yao in a civil manner? Hela ipo, lawyers /managers wapo. Go and do DNA baada ya close chapter in civil way.
 
Hivi wameshindwa kumaliza matatizo yao in a civil manner? Hela ipo, lawyers /managers wapo. Go and do DNA baada ya close chapter in civil way.
Nashangaa sana kutwa kupakana choo mitandaoni.wachukuane na mashahidi wakutosha kutoka pande zote wakaukate mzizi wa fitina.wakacheki DNA full stop.lakini sasa nikuvuana nguo mchana kweupe.mara kondo.m ilipasuka,mara aliikataa mimba lakini alimlea.
 
Diamond anafkr ataishi milele na huo utajiri, katika faulo alizocheza Diamond ni kumdhalilisha huyu mzee .... Aisee mistake kubwa Sana .....kama unaweza kumzawadia mpiga picha gari unashindwaje kumhudumia huyu mzee jaman , mzee aliyempeleka mama yako kujifungua ili uzaliwe ..... Haya ni mazingira ya aibu sijawah ona ....
 
Kuna point hapa[emoji116]
IMG-20210117-WA0002.jpg
 
Usije kusangaa hawa viumbe na wewe baada ya kuhudumia watoto na kubanwa na maada rukuki kesho kirahisi tuu ukaambiwa kuwa watoto sio wako,sasa sijui utafungua kesi ya madai au utaomba Mungu yaishe.Dunia inaenda kwa kasi sana.
 
Back
Top Bottom