Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mtuhumiwa amedaiwa kutenda kosa hilo Julai 26, 2022 baada ya kumchukua Mtoto huyo aliyekuwa akicheza nje ya nyumba yake na kumuingiza ndani kisha kumlawiti.
Licha ya mtuhumiwa kukana, shahidi namba 5 wa kesi hiyo ambaye ni daktari alisema alikuta majeraha madogo kwenye haja kubwa ya mtoto na sehemu hiyo ilikuwa na uwazi.
Source: Azam TV