Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Inasikitisha na inaumiza zaidi, lakini huoni ushahidi unatia Shaka, watu sio wazuri wakati mwingine hatupaswi kushangilia kwa kuwa Kuna Kesi za kutengeneza, nimewahi shuhudia mama na baba wanawashauri dada na Kaka yake wazini ili kumtia hatiani mtoto wa jirani yao waliyekuwa naye ugomvi, lengo ilikuwa kupata ushahidi wa binti kuingiliwa.NGOJA NA YEYE AKALAWITIWE NA MANYAPARA
Does it make any difference? [emoji15][emoji15][emoji15]Mtoto wa like au wa kiume?
Nimeuliza tu nijue mkuu, Wala sikupendezwa na hiloDoes it make any difference? [emoji15][emoji15][emoji15]
Fahamu tu kwamba ni mtoto inatosha.Nimeuliza tu nijue mkuu, Wala sikupendezwa na hilo
SawaFahamu tu kwamba ni mtoto inatosha.
Uko sahihiInasikitisha na inaumiza zaidi, lakini huoni ushahidi unatia Shaka, watu sio wazuri wakati mwingine hatupaswi kushangilia kwa kuwa Kuna Kesi za kutengeneza, nimewahi shuhudia mama na baba wanawashauri dada na Kaka yake wazini ili kumtia hatiani mtoto wa jirani yao waliyekuwa naye ugomvi, lengo ilikuwa kupata ushahidi wa binti kuingiliwa.
Hizi Kesi za kubaka wakati mwingine kwa nchi zetu za afrika Ni shida, hapo ilifaa ushahidi DNA utumike ndo tuamin kuwa jamaa kahusika.
Nb.siungi mkono unyanyasaji wa watoto
Soma ushahidi wa shahidi namba 5Mtoto wa like au wa kiume?
Ndio unajibu jinsia ya mtoto? WaTz tuache uvivu wa kusoma.Soma ushahidi wa shahidi namba 5
da!!! haya matukio yamezidi sasa!!Stevin Malikanga (48) Mkazi wa Kijiji cha Simana amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka nane.
Mtuhumiwa amedaiwa kutenda kosa hilo Julai 26, 2022 baada ya kumchukua Mtoto huyo aliyekuwa akicheza nje ya nyumba yake na kumuingiza ndani kisha kumlawiti.
Licha ya mtuhumiwa kukana, shahidi namba 5 wa kesi hiyo ambaye ni daktari alisema alikuta majeraha madogo kwenye haja kubwa ya mtoto na sehemu hiyo ilikuwa na uwazi.
Source: Azam TV