StillWaters
Member
- Apr 1, 2013
- 23
- 2
Unawakumbuka mafisi babu na bwich bwaiz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ficbabuz? Who ludo? Khalid ferdnard, mangosongo?
Duuh! Ebwana huyu mtu Mangosongo yuko wapi? Jamaa tuliripoti mwezi 7 2002 akawa anapiga word formation(Eng. 1) vibaya ila akahama. Yaan alikuwa amepiga tuisheni topic zote.
yeah, ngosongo alikuwa mbaya kwenye language ila hakumfikia kigoma one, na mwengine mbaya kwa language alikuwa nani yule jina limentoka.
Yah, that it is. Na mataba yeye alikomaa na hist two
Hahahahahaha, Matabaaaa, mzee wa misoc! Ticha Komba yuko wapi?