Lindi: Mbunge wa CCM Nachingwea azomewa na Wananchi

Nilishasema.w8mbi la kukataliwa CCM linakuja kwa kasi sana.

Wakati watu wameanza kurejesha kadi zao nimesema yapp mal7bwa yanakuja.

Naam yanakuja ambayo hamkuwahi kuyaona labla.

Mungu anaifuta CCM kwa speed kubwa
 
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.
Kama ana akili aondoke tu akale starehe zake Dar na wala asigombee tena
 
natoa ushauri wa buree..wabunge wa magufuri kusanyeni maokoto yote ya posho za bunge mpite hivi...hakuna chenu hapa
 

Fimbo za hivi nakumbuka nilichapwa mwaka 1993 na migambo wa kijiji kipindi mdogo baada ya kujulikana nimeiba DDT kwenye store ya shule yetu (wengi watakuwa wanaikumbuka,hii ilikuwa dawa ya kupiga kwenye kahawa).

Sasa kama mkuu wa kituo cha polisi nae ameweza kufanywa hivi seems nae ni mwizi na wananchi wameamua wa-deal nao man to man maana wanajikuta miungu watu
 
Hivi ndivyo inayotakiwa kwa wote
 
safi sana. inatakiwa kuwa hivi nchi nzima 2025 hadi wajue kuwa wananchi wamechoka kudanganywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…