Lindi: Mtoto wa darasa la 6 akamatwa kwa tuhuma za kumnajisi Mtoto wa darasa la 3

Mungu njoo utuponye na roho hawa wachafu,Medusa why you opened the Pandora box
 
Anaenjoy dogo utofauti wa jinsi zao
 
Wakati vizuri na uyo dogo wa miaka 13 lazima na yeye kuna mtu mzima anayemfanyia huo mchezo na yeye anaenda kufanyia wenzie
 
Hadi mlawitiwa anapata shida kutembea hi ina maana kua huyo dogo mwingine alifanikiwa kupenyeza uume wake kwa mwenzake?
Aliwezaje
Je alitumia vilainishi?
Au mala nyingi?[emoji2960]
 
Bado nafikiria hali ya kiakili ya huyo mtoto wa darasa la 3 jinsi atakavyokua na mashaka wakati wa kuishi maisha ya shule
 
Tatizo ni Lissu na machadema kuhalalisha ufrj eti ni haki za binadamu.
 
Mwanafunzi wa miaka 13 hawezi mlawiti mwanafunzi mwenzake mpaka akashindwa kutembea. Hii kesi ni ya kuchunguza naomba nitoe my personal experience on such a case.

Nilipokuwa darasa la pili nilisingiziwa kubaka mapacha tuliokuwa tukisoma pamoja na kukaa dawati moja.

Nilishangaa asubuhi nafika shuleni naitwa officini na kuanza kupigwa mboko. Nilikuwa mdogo siwezi jitetea wala kujieleza.

Hii kitu ilisinumbua sna mpaka namaliza darasa la saba zile siku za mwishoni sababu tuliendelea kuwa marafiki ilinibidi nimuulize mmoja wao nini kilitokea na kwanini walinisingizia.

Yule pacha mmoja alinieleza ukweli kuwa walifanywa ivyo na mwalimu wao wa tuition ambaye navyoandika hivi sasa ni mwalimu mkuu wa iyo shule leo hii. Walidai mwalimu aliwatisha sana so hawakuweza msema. Na wazazi wao alipowaleta kwa uyo mwalimu aliwaambia lazima itakuwa ni mimi ambaye huwa nao muda wote wanapokuwa shule.

Na huyu mwalimu ndye aliyenichapa sana mbele ya shule na wazazi wa wale mapacha.

Mpaka leo huwa najiuliza hata hawa wazazi hawakuweza kutafakari uwezzekano wa mtoto mmoja kubaka watu wawili?

So back to this case, mi nashaur uchunguzi ufanyike.
 
Dunia yaelekea ukingoni hii
 
Pole mkuu...! Ila mashuleni kwa sasa haya mambo yapo sana, kuna shule ipo sehemu ambayo ndo wanafanyia mambo hayo hao watoto wanapaita mzizi wa laana..! Huyo mwalimu ningemfata na kumpa makavu live ili ajue nimejua
 
Pole mkuu...! Ila mashuleni kwa sasa haya mambo yapo sana, kuna shule ipo sehemu ambayo ndo wanafanyia mambo hayo hao watoto wanapaita mzizi wa laana..! Huyo mwalimu ningemfata na kumpa makavu live ili ajue nimejua
Yani mpaka namaliza darasa la saba huyu mwalimu alikuwa na scandle nying za kutembea na wanafunzi na hii aliweza kufanikisha sababu alikuwa akiishi hapo hapo shuleni na kuendesha masomo ya jioni. Sasa sipati picha kinachoendelea hivi leo maana ndyo mwalimu mkuu na inasemekana ana VVU. Mke wake kashakufa kwa VVU.
 
Mungu njoo utuponye na roho hawa wachafu,Medusa why you opened the Pandora box
Hakuna cha medusa hapo!

Huyu ni mtoto tu ambaye balehe inamsumbua.

Anachohitaji ni kuelekezwa na kuonywa, au hata ikibidi kupatiwa msaada wa kisaikolojia (sexual therapy).

Maana hamchelewi ninyi kumpeleka kwa waganga wa kienyeji na kumfunga mahirizi.

Ati ohhh kiama kimewadia! Mara sijui amevamiwa na jini medusa!

Kichwa kama medusa!
 
Watu wa namna hii wanachafua sana walimu na kuonekana watu wa hovyo...
 
A

Ate that age brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…