LGE2024 Lindi: Nape apiga kura Serikali za Mitaa Jimboni Mtama, atinga na pikipiki

LGE2024 Lindi: Nape apiga kura Serikali za Mitaa Jimboni Mtama, atinga na pikipiki

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo.

"Watu wamejitokeza kwa wingi hilo jambo linafurahisha, nataka kutoa wito kwa Wagombea wote wakubali matokeo sababu hii nayo ni tabu Watu wakishapiga kura matokeo yakapatikana Watu wanaanza kelele, nina amini kila atakae shinda atakubali na atakae shindwa atakubali matokeo"
 
Back
Top Bottom