Lindi: Selemani Matola (53), ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumnajisi Mjukuu wake

Lindi: Selemani Matola (53), ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumnajisi Mjukuu wake

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya Lindi imemuhukumu Selemani Matola (53) mkazi wa Halmashauri ya Mtama kifungo cha maisha gerezani baada ya kukutwa na hatia ya Kumnajisi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 8

Inadaiwa kuwa mshatakiwa huyo alifanya tukio hilo Disemba 17,2021 usiku wakati mkwewe amehudhuria sherehe za ngoma za kuwaaluwa watoto wa kaka yake, mkewe aliporudi alimkuta mume wake akiwa amelala usingizi mzito na mjukuu wao wakiwa uchi wa mnyama na alipowafanyia ukaguzi akabaini mbegu za kiume zimeweka michilizi kwenye mapaja ya mjukuu wao hali iliyomlazimu kuita majirani na kutoa taarifa kwa uongozi wa Serikali ya kijiji na hatimae Polisi.

Aidha mshitakiwa alidai iwapo atapewa adhabu kali kutaifanya
familia hiyo ikose huduma yake ya matunzo huku akidai Ibilisi wa
mapenzi alimshawishi kufanya kitendo hicho.
 
Kuna clip moja niliona, mzee miaka 60 anakula katoto ka miaka 13, kanampelekeaga karanga af zee linamaliza juu kwa juu... ukichek lile zee lina bonge la dushee... ukicompare na kale katot dahh
Asee watu wagumu kweli
 
Back
Top Bottom