Lindi: Selemani Matola (53), ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumnajisi Mjukuu wake

Kuna clip moja niliona, mzee miaka 60 anakula katoto ka miaka 13, kanampelekeaga karanga af zee linamaliza juu kwa juu... ukichek lile zee lina bonge la dushee... ukicompare na kale katot dahh
Mkuu umeona tu dushe? [emoji1787][emoji1787]
 
BABU (MZIZI) UNATEMBEA NA MTOTO(TAWI) WA MTOTO WAKO(SHINA)? HII NI LAANA
NINGEKUWA HAKIMU NINGEKUONGEZEA KIFUNGO, KWA KUMSINGIZIA MTU WA WATU, IBILISI
 
kabisa aise,nasikia kuna familia zinamalizaga chini chini kesi kama hizi
Sana kwa vile mwisho wa siku wanaona wanamharibia CV mtoto husika iwe ngumu kuolewa baadaye. Na pia kama muhusika was kiume ndiye mwenye uchumi wa familia. Watajilaumu atakapofungwa baadaye huko.
Hizo factor mbili wanaona isiwe kesi
 
Nikasema ile Timu imeanza mambo gani? Juzi wamekimbia senene ,Leo Tena Seleman Matola
 
Hii hukumu imekuwa fasta sana. Yaani tarehe 17 Dec 2021 kabaka leo kala mvua... Ila huyu mzee, katoto ka miaka nane kweli? Halafu eti shetani wa mapenzi, dah, aende huko akakae na shetani vizuri
 
Kuna clip moja niliona, mzee miaka 60 anakula katoto ka miaka 13, kanampelekeaga karanga af zee linamaliza juu kwa juu... ukichek lile zee lina bonge la dushee... ukicompare na kale katot dahh
Hapa ndiyo utakapoona kwamba wanyama kama mbwa, mbuzi etc wana akili kuliko binadamu linapokuja swala la sex.
 
Heading zenu ziwe straight jamani mimi nilidhani Selemani Matola wa Simba...Nilikuja mbiombio nkadhani ntamkuta yeye[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mimi nilifikiria hivo
 
kitendo cha mjukuu kulala na babu yake comfortably baada ya kufanyiwa hivyo inaonesha sio kitu cha mara ya kwanza na zaidi kashazoea
Umesoma ana umri gani? Hujui watoto wadongo nirahisi kudanganywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…