Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Apr 26, 2020 #1 Kadi kibao za watumishi zinazotumika kama dhamana. Hawa Wakurya wana mpaka mashine za uwakala wa mabenki. Mtandao wao ni mkubwa, Mtwara walikamatwa wanaendelea kama kawaida now. Sent using Jamii Forums mobile app
Kadi kibao za watumishi zinazotumika kama dhamana. Hawa Wakurya wana mpaka mashine za uwakala wa mabenki. Mtandao wao ni mkubwa, Mtwara walikamatwa wanaendelea kama kawaida now. Sent using Jamii Forums mobile app
Mjasiri na Mali JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 5,366 Reaction score 14,167 Apr 26, 2020 #2 Kaa utulie uandike habari ya kueleweka mkuu
TELLO JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 234 Reaction score 411 Apr 26, 2020 #3 Ndo nini sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Apr 26, 2020 #4 Ova mnalazimishwa kwenda kwao kukopa..roho hii ya wivu sijui itaisha kizazi cha ngapi! Unaona mtu ana riba kubwa achana naye nenda sehem zingine!
Ova mnalazimishwa kwenda kwao kukopa..roho hii ya wivu sijui itaisha kizazi cha ngapi! Unaona mtu ana riba kubwa achana naye nenda sehem zingine!
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Apr 26, 2020 #5 Woote Ni wakurya??