Lindi: Wakulima wa korosho wagoma kuuza bei ya hasara, Mkuu wa mkoa wasaidie Hawa wakulima

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA

WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA

DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO KESH
WAKULIMA WAHRSHIMIWE KAMA WALIVYOKUWA WAKIHESHIMIWA HUKO NYU.MA JAMAN

AHSANTE
 
Unakera kwa uandishi wako wa herufi kubwa tupu, unamgombeza nani?
 
Si mimi nilidhani bei ya dengu, ufuta na mazagazaga mengine kama hayo pamoja na korosha bei imepanda sokoni
 
Mkuu pdidy lini utakuwa unapitiae unachoandika

USSR
 
Timu kusifia ina mapambio mengi hadi hawakumbuki lipi walishaimba na lipi bado.
Hao wapumbavu hawajitambui wamejisajiri kutwa zima kuleta thread za kumshambulia Mugufuli na kumsifu mama! Sasa kama alishakufa wanashida gani nae? Yaani mara choroko mara korosho mapambio tu! Maneno mengi vitendo sifuri!
 
Hivi kwa nini zao la korosho linaletaga sintofahamu Sana?

Wakinunua watu wa ushirika kero,wakinunua wafanyabiashara kero nk

Shida iko wapi? Na nini kifanyike?
 
Sijui kwa nini hawaangalii soko la ndani
sio waweke tu utaratibu na bei elekezi
 
Na Sisi tuliopo mkoa wa mtwara hatutakubali na hizo bei za kishamba....
Mwaka huu kazi IPO Kwenye bei ya korosho
 
WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA
Alaaniwe jiwe huko aliko, yeye ndiye chanzo cha mvurugiko wa bei ya zao la korosho.
 
Jamani aliyemuelewa anisaidie.

Jamaa siku zote anaandika huku BP inasoma 140/120
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…