Lindi: Wakulima wa korosho wagoma kuuza bei ya hasara, Mkuu wa mkoa wasaidie Hawa wakulima

Lindi: Wakulima wa korosho wagoma kuuza bei ya hasara, Mkuu wa mkoa wasaidie Hawa wakulima

Magufuli aliharibu Bei ya zao la korosho,itachukua muda bei kukaa sawa
Hujui historia ya Bei ya korosho,

Bei ya korosho imekuwa Bora tangu utawala wa JPM
Kifupi, ni kuwa JPM ndio mkombozi wa kihistoria wa zao la korosho
Kama hujui bwashee tuulize sisi watu wa kusini tukusimulie

Ufuta, choroko, mbaazi zimepanda Bei mumesema ni jitihada za Mama
Korosho zinaporomoka Bei munasema Magufuli
 
Alaaniwe jiwe huko aliko, yeye ndiye chanzo cha mvurugiko wa bei ya zao la korosho.
Kama unampenda huyo jiwe si uende ukaolewe nae huko ahela?
Kam una akiri timamu hizo bei za kijinga ndo alizikataa sasa leo umsingizie kwa lipi au umekosa mume?.
 
Wakulima bado hawajajua adui yao ni nani. Wao mazao yakishuka bei wanajuaga mnunuzi (mfanya biashara) ndio adui yao. Nina imani hata wewe mtoa mada ndo unavyowaza kwa akili yako ndogo.

Wakulima hawajui kuwa bei zinajitengeneza zenyewe kupitia demand forces of demand as supply. Mbona wanunuzi wakipandisha bei juu ya matarajio yao bila hata serikali kusema, wakulima huwa hawalalamiki wakaiomba serikali ishushe bei sawa na matarajio yao??

Nimekuja ku realize hata serikali ina adopt akili hizo hizo za wakulima na ndio maana kila wakiingiza mabavu kwenye haya mazao wanaleta hasara na vilio kwa wakulima. Mfano mzuri ni zile korosho za kusini na serikali ya JPM. Ilifika hatua wakulima wanalia hawajalipwa kwa kuda mrefu, na serikali ilipata sana hasara.

Mfano mwingine wa mwaka huu ni bei ya vanilla huko Kagera. Wakulima walilia sana kuwa bei imeshuka sana wakaishinikiza serikali iwatetee. Mkuu wa mkoa akaweka bei kwa wanunuzi kuwa bei ni elf 30 kwa kg, asiyweza hiyo bei asipewe kibali cha kununua vanilla. Baadhi ya wanunuzi walisitisha kununua vanilla kwa bei hiyo kwankuwa walikuwa na uwezo wa kuzioata kwa bei pungufu ya hiyo hata nje ya Tanzania. Matokeo yake wakulima wakahangaika wakakosa pa kuuza vanilla, na zinazidi kuharibika kwa waliokuwa wameshavuna. Wananchi wakaanza kuwalalamikia tena WANUNUZI eti hawanunui vanilla zao serikali iwasaidie wanunuzi wazinunue[emoji2][emoji2]. Serikali ikaruhusu wakulima waelewane na wanunuzi. Wakulima wakalazimika kuuza kwa mkopo bila malipo. Tangu mwezi June moaka leo wengi wao hawajalipwa. Na sasa wakulima hao hao wanawalalamikia wanunuzi tena[emoji2][emoji2] na wanaiomba serikali iwasiaide walipwe. Na wanunuzi wanasubiri wauze mzigo ndo walipe wakulima.

Mi nafikiri serikali isiwe inaingilia bei kwa nguvu moja kwa moja bali ikae na wanunuzi na kuwashawishi wapandishe bei kwa kuwapunguzia vitu kama kodi, na mambo mengine.


Mi na
LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA

WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA

DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO KESH
WAKULIMA WAHRSHIMIWE KAMA WALIVYOKUWA WAKIHESHIMIWA HUKO NYU.MA JAMAN

AHSANTE
 
Back
Top Bottom