Lindi: Wakulima wa korosho wagoma kuuza bei ya hasara, Mkuu wa mkoa wasaidie Hawa wakulima

Unakera kwa uandishi wako wa herufi kubwa tupu, unamgombeza nani?
Nchi zengine wakulima hugoma kwa mfano wanaingia barabarani na matrekta na kusababisha misongomano foleni. Wengine hugoma kuuza bidhaa kama walivyofanya, ni sahihi mtu wa Dar akikosa korosho basi atakula njugu 😉
 
Sasa Bei ya hasara ni ipi?
 
Jifunze kuandika vizuri we boya.
 

 
Pro Chifu Hanagaya tunacomment wapi hapa?
 
Timu kusifia ina mapambio mengi hadi hawakumbuki lipi walishaimba na lipi bado.

Kujenga nchi sio kazi lelemama wala sio kuimba maneno maneno mengi. Lets get serious na kufanya kazi. Hakuna shortcut wala mjomba mjomba wa kuleta maendeleo.
Muda utaamua kwa kuyaweka wazi matokeo ya kazi zetu
 
Alaaniwe jiwe huko aliko, yeye ndiye chanzo cha mvurugiko wa bei ya zao la korosho.
Sio kweli kabisa...ila haiba yetu waafrika ni kulaumu watu wengi kwa kila madhira yanayotupata. Ndio maana tukiambiwa kwanini hatuendelei, tunamsingizia mkoloni. Miaka 60 baada ya kuwa ameshaondoka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 

Hii hapa chini iliishia wapi. Haya bana..

 

Hivi kwa nini zao la korosho linaletaga sintofahamu Sana?

Wakinunua watu wa ushirika kero,wakinunua wafanyabiashara kero nk

Shida iko wapi? Na nini kifanyike?
Ingawaje ni jambo la kawaida mkulima kugomea bei kama anaona haina maslahi (hata hivyo) hili zao linaonekana kuna Umafioso mwingi sana ndani yake maana kila Msimu ni shida !! Na kubwa ni tamaa ya watu kutaka kupiga Super Profit kupitia kuwanyonya wakulima kwa bei ndogo.
 
Kivipi au ni hisia zako tuu? Hivi wakiacha kila mkulima afe nalo mwenyewe itakuaje?
 
Jiwe apate adhabu stahiki kwa alichofanya hapa Tanzania.....katili mno roho mbaya sana
 

 
Safi kabisa mkuu wangu Pdidy huu ujumbe umeeleweka na umefika kunakohusika....
 
Hii hapa chini iliishia wapi. Haya bana..

View attachment 1969705
Kwa hiyo waliopewa kongole ni walaji wa marekani, sisi walaji wa bongolala tutajibeba siyo? huu utaratibu wa kupiga mnada mazao yetu kwa mabeberu ndo yanapelekea matatizo ya kudumaa kwa watoto..........maana tunajikuta tunashangilia utopolo wa kupelekwa mazao yetu nje. Hivi kweli kwa soko la ndani kuna korosho hata moja inayotakiwa kwenda nje? acha watoto wetu waendelee kudumaa hadi akili zitakapotusogea.....
 
Dada ujarudi tu shule Hadi leo, miaka inaenda we bado kuandika kunakusumbua tu, pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…