Lindi: Wanachama wanne wa CHADEMA watupwa jela miaka 8

Lindi: Wanachama wanne wa CHADEMA watupwa jela miaka 8

Good, hawa wahuni hawa … Ubaya waliokua wakimpambania ashawakimbia[emoji1787]

Hizi siasa za kiharakati hizi mwisho Lupango!
 
Tanzania ya sasa inahitaji watu jasiri kama nyinyi! Uchaguzi wa 2020 ulijaa upuuzi mwingi sana. Kiuhalisia hata hiyo hukumu ni ya uonevu tu.

Haiwezekani mgombea umeshinda kwa kura nyingi, halafu wakati wa kumtangaza mshindi, anatangazwa aliyeshindwa kutoka ccm huku akilindwa na mapoliccm! Hovyo kabisa.
Hizo ni zile zile kesi za kisiasa. Huko mikoani Jamaa alipandikiza chuki sana. Watu wanafungana tu.

Hakuna hata mawakili huko.

Miaka nane watatumikia lakini wahusika laana hadi kizazi cha nne ukok wao.

Mungu hasemi uongo
 
hawa mahakimu na majaji watailetea balaa nchi.
ulitaka wafanyeje, waache wafanye kazi kama sheria inavyotaka.
hapa wangeshinda kesi ungekuja kusema haya maneno yako! kwani nini huwa hampendi kusikia upande wa pili wa shilingi?
 
Hizo ni zile zile kesi za kisiasa. Huko mikoani Jamaa alipandikiza chuki sana. Watu wanafungana tu.

Hakuna hata mawakili huko.

Miaka nane watatumikia lakini wahusika laana hadi kizazi cha nne ukok wao.

Mungu hasemi uongo

Naona na huyu mama naye ameacha kurithi vitu maana! Ameona na yeye aendeleze pale alipoishia mtangulizi wake.
 
Upuuzi mtupu, huko mikoani hao mahakimu fake wanajiona kama mungu, kesi za kisiasa hizi na kukomoana tuu, wanasheria mnaweza kujitolea kwenda kuwakatia rufaa na kuwapigania nina uhakika ni uonezi mtupu
 
Mahakama za ccm,jaji wa ccm,mwanasheria wa serikali ccm,mlalamikaji serikali ya ccm
Hakuna kesi hapo
 
to be honest mimi huwezi kunitoa nilipo nikafanye lolote kwa ajili ya mwanasiasa huo ni ujinga mkubwa sana katika maisha .

ona sasa unakula miaka 8 k'zembe hata aliyesababisha hana hatapeleka hata kilo ya unga kwa familia

dunia hii ...
 
Ni kweli kama ambavyo hao wanasiasa ccm unawafagilia sana lakini wanakupa chakula wewe na mkeo
 
Back
Top Bottom