Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Crackdown ya kuengua vyama vya upinzani kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inaendelea.
Huko Lindi, viongozi wa CUF na ACT Wazalendo wameoneshwa kusikitishwa na hivyo kuwatupia lawama wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile kinachodaiwa kuenguliwa kwa wagombea wao wa nafasi mbalimbali.
Ahmad Zuberi kiongoi wa ACT Wazalendo mkoa wa Lindi ametaja mapingamizi waliyopokea ni kutoka kwa wasimamizi wasaidizi kujigeuza kuwa wagombea kwa kuwawekea mapingamizi wagombea wao 48 wakiwemo wenyeviti wa mitaa 16 na wengineo.
Soma pia: Mara: Walioenguliwa uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kurejeshwa, wananchi wapongeza
Nae, Katibu wa CUF Shazir Mosha kwa upande wake wamesimamisha wagombea 67,waliowekewa pingamizi ni 39 kati yao 35 wameshinda pingamizi walizowekewa na 4 wakiendelea kuwakatia rufaa.
============================================================
Hivi kweli inafikia hatua wasajili wasaidizi wanajigeuza kuwa wagombea ili wawawekee wagombea wa wapinzani? CCM mnaogopa nini?