Lindi: Watu saba wafariki kwenye ajali ya barabarani, Hiace imegongana na Lori

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,487
Watu saba wamefariki dunia papo hapo baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana uso kwa uso na Lori la kampuni ya Dangote katika kijiji cha Mavuji, wilayani Kilwa mkoani Lindi.

Inasemakana gari dogo aina ya Noah, abiria wake walikuwa wanatokea Arusha wakielekea Mtwara kwenye Ujenzi.

Maiti zote zipo Hospitali ya Mkoa ya Lindi. Miili imeharibika sana.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…