Nani Huyo? Haya Yanatufanya Tukose UtuWaanze na wewe unaeshabikia shenzi kabisa
Ni watu wanaoneshana makali amaa??
Uko sahihi lengo ni Mapolisi kujitokeza kwenye vyombo vya habari ili kuanza kutoa vitisho vikali ili wale waliokusudia kweli kuanza kuchoma nyumba za hao wakurugenzi wanywee!Kama hakuna Vifo basi haya yanaweza kuwa ni planed kwa malengo maalum au kinyume chake ,na bado.
Waanze na wewe unaeshabikia shenzi kabisa
Isifike mahali wakaanza kuwaua maana uhai wa mtu hautafutwi sehemu yoyote.