Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Hivi wadau nyumba zinapokua zinachomwa inamaana hakuna hata MTU wa hapo nyumbani wa kushtukia tukio na kutoa taarifa? Na je mbona hatusikii habari zozote kuhusu wanafamilia mfano; wanaendeleaje au wameokolewaje?
 
Hapo aliechomewa nyumba akihisi ni fulani atafanya mpango naye amchomee yake. In the end mambo yaki escalate then tunajikuta kwenye hali mbaya.
 
Wachomwe tu, unaanzisha shari halafu unategemea amani kweli
 
Naona dalili kuna wabunge hawatakanyaga majimboni kwao mpaka 2025, hii hali iwaamshe usingizini.
 
Bad story - wananchi acheni kulipa baya kwa baya - lipeni jema kwa baya lolote mlotendewa
 
Nipo Sinza ila wewe nenda Liwale wanakokutafuta kwa kuchoma magari na nyumba siku baada ya uchaguzi
Nami niko Sinza C,niko nazimua hapa Traffic jam bar,opposite na njia panda ya kuelekea UDSM!
 
Haya ni matendo ya kihuni katikati ya siasa za kihuni,to every action,there is an equal reaction.Maridhiano ni muhimu sana baada ya uchaguzi,hakuna anayefurahia uovu katika jamii.
 
Back
Top Bottom