Mbona wakulima original wao hawakusema chadema na ACT wazalendo ndio waliongea? Kulikoni? Ilitakiwa wakulima original was maeneo husika waseme ilikuwaje Mbowe na genge lake la akina Zitto Kabwe ndio waliobweka badala ya wakulima?
Hata kura kuibiwa mawakala waliokuwa vituoni Hakuna wakala wa Chadema Wala Act wazalendo aliyeongea kuwa zimeibiwa mibweko tunaona inatoka kwa kwa wagombea tu kulikoni? Mtu wa kwanza kujua kura zimeibiwa alitakiwa awe wakala ndani ya kituo sio mgombea
Kick zenu mkuranga ,Kibiti na Rufiji zilibuma migaidi yenu mliyojitia ohhh mikulima ilitwanga mirisasi na JWTZ Hadi ikakoma ikatorokea Msumbiji ikijinyea njia nzima
Hiyo munayoita mikulima ikaenda kuanza chinja chinja kule !!! Hadi Sasa
Hao wa Lindi wajiandae kujinyea JWTZ ingieni kazini