Anafikiri ni sifa kumbe anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe,wanachama wa CCM wako chini ya elfu 1000 kura zaidi ya elfu 4 alizopata zingekuwa za halali wananchi waliochoma wangetoka wapi?.MaCCM mpo chini ya elfu moja lakini mmepata kura zaidi ya elfu nne.
Ndio maana mnapigwa moto.,
Hamna tofauti na VIBAKA.
Waende wakaue watu hovyo hovyo?Kibiti hadi wakulima waliokutwa mashambani waliuwawa!Hao Ni.magaidi wale walioko Msumbiji kwa Sasa wanashirikiana na magaidi was ndani kutumia uchaguzi Kama kichaka JWTZ ingieni kazini Yale mliyofanya Kibiti, mkuranga na Rufiji kayafanyeni Lindi na Mtwara
Hata bado, Mambo ndio kwanza yanaanza..Haifai
Hii Ni Hatari
Vitendo Vya Hovyo Sana Hivi
Uchaguzi Umekwisha X 3
Mbona wakulima original wao hawakusema chadema na ACT wazalendo ndio waliongea? Kulikoni? Ilitakiwa wakulima original was maeneo husika waseme ilikuwaje Mbowe na genge lake la akina Zitto Kabwe ndio waliobweka badala ya wakulima?Waende wakaue watu hovyo hovyo?Kibiti hadi wakulima waliokutwa mashambani waliuwawa!
Lini?Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Magaidi Wana busura na hekima wanashambulia watesi wetu, huenda tujiunga nao kuikomboa nchiHao Ni.magaidi wale walioko Msumbiji kwa Sasa wanashirikiana na magaidi was ndani kutumia uchaguzi Kama kichaka JWTZ ingieni kazini Yale mliyofanya Kibiti, mkuranga na Rufiji kayafanyeni Lindi na Mtwara
Wamechezea kichapo Kama Cha Lukaya kule Uganda tuna majeruhi zaidi ya Mia wapo lugaloUnaongea kama vile jeshi la maccm ni super jeshi duniani kumbe ni bunch of gay motherfuckers
Unakuja kuwashika na wao pia wapo on the line vilevile....They will take their chances!
Maaskari bure kabisa yale
Kwanini wanaishi bila kuwa na Surveillance camera? Ulimwengu wa leo lazima watu kama hao wawe na surveillance camera. Tena unaweza uka control mchomaji wakati anaandaa kufanya action kwenye Smartphone yako.Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Nauliza tu mkuu, ni lipi linakubalika..., kwenda kupiga kura lakini kura hiyo isiwe na maana yoyote?Juhudi Zifanyike Haraka Sana
Vinginevyo Mambo Haya Yataenea
Haikubaliki Hii
Tukipiga kura kuchagua viongozi wetu, akatokea mpumbavu akaona sisi ni wapuuzi na kutuwekea kiongozi anayemtaka yeye, huo ndio"utu" kweli?Nani Huyo?
Haya Yanatufanya Tukose Utu
Kunyooka ni kwa walio ndani ya CCM Na walio nje ya CCM, Subiri utaona tu.Mtanyooka tu.
Mkuu Nina mashaka makubwa sana kuwa huu uchomaji moto huenda unafanywa makusudi na State apparatus Kwa malengo Fulani dhidi ya Vyama Pinzani.Haifai
Hii Ni Hatari
Vitendo Vya Hovyo Sana Hivi
Uchaguzi Umekwisha X 3
Amin nakuambia this has nothing to do with Wananchi..Acheni ujinga kusema mali ya wananchi imechomwa. Nimekagua mali zangu hakuna iliyochomwa. CCM wasijivike ngozi ya wananchi kuhalalisha ushenzi wao.
Waliiba uchaguzi ambao watu walichagua watu wao wanaowapenda, acha walipie upuuzi walioufanya.
ICC.Basi pelekeni huko Kwa mabeberu
Hata MimiMkuu Nina mashaka makubwa sana kuwa huu uchomaji moto huenda unafanywa makusudi na State apparatus Kwa malengo Fulani dhidi ya Vyama Pinzani.
Siamini kabisa kwamba hizi ni Hasira za wananchi dhidi ya hao Wasimamizi na Wabunge... Siamini!!!!
Umechangia kama wanawake wale wa kukodi kwenda kumsema mwanamke mwenzao!Mbona wakulima original wao hawakusema chadema na ACT wazalendo ndio waliongea? Kulikoni? Ilitakiwa wakulima original was maeneo husika waseme ilikuwaje Mbowe na genge lake la akina Zitto Kabwe ndio waliobweka badala ya wakulima?
Hata kura kuibiwa mawakala waliokuwa vituoni Hakuna wakala wa Chadema Wala Act wazalendo aliyeongea kuwa zimeibiwa mibweko tunaona inatoka kwa kwa wagombea tu kulikoni? Mtu wa kwanza kujua kura zimeibiwa alitakiwa awe wakala ndani ya kituo sio mgombea
Kick zenu mkuranga ,Kibiti na Rufiji zilibuma migaidi yenu mliyojitia ohhh mikulima ilitwanga mirisasi na JWTZ Hadi ikakoma ikatorokea Msumbiji ikijinyea njia nzima
Hiyo munayoita mikulima ikaenda kuanza chinja chinja kule !!! Hadi Sasa
Hao wa Lindi wajiandae kujinyea JWTZ ingieni kazini
Siwezi kusubiri mimi nachapa kazi kama kawaida. Subiri wewe!Kunyooka ni kwa walio ndani ya CCM Na walio nje ya CCM, Subiri utaona tu.