Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Nashauri kila msimamizi wa uchaguzi aliye simamia wizi wa kura apewe ulinzi wa TISS
 
Hii habari ya siku nyingi tukio la tr 28 wakati wanasubiri matokeo, sijui unaileta habari hii leo kwa sababu gani. mbuzi ni mbuzi tu hambadiliki.
 
Bubu hutaka kusema pale mambo yanapomzidia. Ujumbe unafika.
 
Rudi hukohukounaweza kuta muendelezo
 
Kweli wewe haupo TZ mbona RC wa Mtwara alitoa press muda mlefu na akaeleza waliokuwa wamekamatwa kuhusiana na matukio hayo!! Wewe ndiyo unasikia leo? Au kwa kuwa mitandao ilikuwa imezimwa?
Najua upo kwenye access ya bure hapo somewhere Lumumba, upload hiyo press ya huyo kiraka wa jiwe hapa.
Siyo maneno matupu.!
 
Acheni ujinga kusema mali ya wananchi imechomwa. Nimekagua mali zangu hakuna iliyochomwa. CCM wasijivike ngozi ya wananchi kuhalalisha ushenzi wao. Waliiba uchaguzi ambao watu walichagua watu wao wanaowapenda, acha walipie upuuzi walioufanya.
Wamechoma ccm wenyewe kutaka kudhihirisha wananchi kuwa ni opposition leaders ndio wamewatuma. Manake ccm nao walisema lissu alijipiga risasi mwenyewe...
 
Wamechoma ccm wenyewe kutaka kudhihirisha wananchi kuwa ni opposition leaders ndio wamewatuma. Manake ccm nao walisema lissu alijipiga risasi mwenyewe...
Watu Wamevurugwa Wanataka Jamaa Wakimbie Vyeo
 
Malipo ni hapa hapa duniani.Acha wavune walichopanda
 
Sawa kabisa! Kila palipo mali za wasimamizi wa uchaguzi zishughulikiwe tu hamna namna! Wametenda dhuluma sana! Waende mpaka vijijini kwenye nyumba walizowajengea wazee wao!
 
Wacha yaenee tu mkuu, jamaa wamedhulumu sana aisee! Wacha tuonyeshane makali kwanza,, tutaelewana tu! By Dr. Shika!
Juhudi Zifanyike Haraka Sana
Vinginevyo Mambo Haya Yataenea
Haikubaliki Hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…