Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kwa nini haukulileta hiyo 29 Okt? Manazuia vyombo vya habari kutoa habari. Zikitoka hivi mnajaribu ku-downplay eti mbona zamani! Jana nyumba ya mkurugenzi Meatu imeungua moto. Furahi kama unapenda matukio mapya tu.
Mbona walishakamatwa siku nyingi na nimatukio ya tarehe 29/10/2020. Nashangaa leo ndiyo yanaletwa hapa JF!! Au kwa kuwa mitandao ilikuwa imefungwa!