BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Magaidi wa kweli huwajui,ama unaigiza hapa jukwaani?Chama cha siasa kikishindwa kufikia malengo yake ya kushika dola kwa muda mrefu kinageuka kuwa kikundi cha waasi na hatimae magaidi..
Nendeni taratibu, tunawaangalia.
We shabikia tu cha moto utakiona ikifika zamu yakoAcheni ujinga kusema mali ya wananchi imechomwa. Nimekagua mali zangu hakuna iliyochomwa. CCM wasijivike ngozi ya wananchi kuhalalisha ushenzi wao. Waliiba uchaguzi ambao watu walichagua watu wao wanaowapenda, acha walipie upuuzi walioufanya.
Ni ya siku nyingi hii baada tu ya uchaguzi na wote walishakamatwa na wako mikono salama. Usiilete kama ndiyo imetokea leo. You fool.
Magaidi wapo Mtwara huko wanafanya yaoChama cha siasa kikishindwa kufikia malengo yake ya kushika dola kwa muda mrefu kinageuka kuwa kikundi cha waasi na hatimae magaidi..
Nendeni taratibu, tunawaangalia.
HAo ni magaidi yakipatikana machungu yao ni risasi tuDuhhhh.....
Haya sasa, tulisema ulikua wa uwazi na haki na haya ndio matokeo yake tunavuna tulicho kipanda.
Hili tukio lilitokea tarehe 28/10/2020 sasa acha kuzua taharuki kuwa limetokea ndani ya wiki hii,katika tukio hilo gari saba za government zilichomwa,hapo ni liwale kata ya ngongowele na kata ya kibutuka
Utulivu unajengewa misingi,kama wapo wanaofanya juhudi kubwa kubomoa misingi,hiyo yaelekea wameuchoka na utulivu wenyewe.Utulivu unahitajika katika mambo haya....
HAo ni magaidi yakipatikana machungu yao ni risasi tu
Na misingi yenyewe huenda imeshabomolewa tayari.....Utulivu unajengewa misingi,kama wapo wanaofanya juhudi kubwa kubomoa misingi,hiyo yaelekea wameuchoka na utulivu wenyewe.
Akili ni zaidi ya mbavu,na hayo ndio yanayotupeleka huku tulipofika dad's,hayo mambo yalikuwa no msamiati kwetu,yafaa tujiulize kama taifa,kwanini tuna uelekeo huu leo.?HAo ni magaidi yakipatikana machungu yao ni risasi tu
Nasema acha walipie upuuzi waliofanyaWe shabikia tu cha moto utakiona ikifika zamu yako
NI nini dhamira yako juu ya kuleta hii habari? Tukio Hilo lilitokea kitambo
Za Mbowe huwa hazichomwi usiku zinabomolewa mchana na askari walinda usalama.Zikianza kuchomwa na za Mbowe uje pia
CCM mmeshazoea damu sikushangai kwa komenti hii.H
HAo ni magaidi yakipatikana machungu yao ni risasi tu