Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Maandalizi ya kesi kubwa za wakubwaHuko eneo salama
---
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi Fedha Mkoa wa Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya shilingi milioni 51.