Lindi: Watumishi wa Halmashauri washtakiwa kwa Uhujumu Uchumi

Maandalizi ya kesi kubwa za wakubwa
 
Uhujumu Uchumi imefanyiwa amendment dhamana chini ya 300,000,000 mil unapewa na mahakama yoyote.
Ikishafila 300,000,001 hapo lazima uende mahakama kuu, na utoe Nusu ya thamani ndo unapewa dhamana
Kwa ninavyofahamu inabidi wasimamishwe kazi huku wakiwa wanaendelea na shitaka lao...siku ikijulikana hawana hatia wanarudi kazini... Ndo maana ahata Waziri mkuu akirnsaha kukagua miradi akikuta kuna ubadhilifu, anamsimamisha kwanza kupisha uchunguzi
 
Kuna madaraja yalijengwa kwa bilioni kadhaa hao takukuru hawakuyaona?
 
Lakini hawa wote ni wanaCCM wenzetu.

 
Kuna madaraja yalijengwa kwa bilioni kadhaa hao takukuru hawakuyaona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…