NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Simba hawanaga lawama za kudumu,nakumbuka mzunguko wa kwanza kuna goli Simba walifunga likakataliwa alafu refa akatenga kona,Simba awakususa wala kusoma Albadri walitulia wakaendelea na mikakati yao.