NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Apr 25, 2021 #41 Simba hawanaga lawama za kudumu,nakumbuka mzunguko wa kwanza kuna goli Simba walifunga likakataliwa alafu refa akatenga kona,Simba awakususa wala kusoma Albadri walitulia wakaendelea na mikakati yao.
Simba hawanaga lawama za kudumu,nakumbuka mzunguko wa kwanza kuna goli Simba walifunga likakataliwa alafu refa akatenga kona,Simba awakususa wala kusoma Albadri walitulia wakaendelea na mikakati yao.
Mafiningo JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 4,435 Reaction score 4,662 Apr 25, 2021 #42 Huyo mwamuzi kama siyo chura basi ni mbumbumbu. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Apr 25, 2021 #43 Huyo pimbi anasema yote aliyofanya ni kwa hisani ya HSC
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Apr 25, 2021 #44 Mlungula huo kwa lugha rahisi ni hongo!! Utopolo wako mchezoni nje ya uwanja, maana hakuna maelezo mengine!
Mlungula huo kwa lugha rahisi ni hongo!! Utopolo wako mchezoni nje ya uwanja, maana hakuna maelezo mengine!