Line up ya Simba SC

John Book na Aishi Manila....

Naona ume edit hahaha
 
Yaani kila msimu mna ndoto za mchana,haya endeleeni kuota mwisho wa msimu kidume kinabeba ndoo mnabaki fukuza kocha na kusajili upya.Hamna jipya watani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Salimu Mbonde
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. John Boko
10. Laudit Mavugo
11. Emanuel Okwi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wote ni wachezaji wa kawaida sana! Kuna yule Kotei na Juuko nadhani bado wàna uwezo wa kucheza hapo simba! simba wanapaswa kusajili beki wa kulia mwingine mzuri kama yule Bukungu ili asaidiane na Kapombe ambaye ameshakuwa na majeruhi ya mara kwa mara! Pia Tshabalala wamtafutie msaidizi ili asipokuwepo pengo lake lisionekane! Bado naona Yanga atachukua ubingwa kiulaini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapombe .Erasto.Mbonde.Hussein. Ndio wawakabe Ajib.Tambwe.Ngoma.Chirwa ..haya masihara
 
Hawa jamaa kila mwaka hivi hivi, sikutarajia kama kikosi cha mwaka jana wangekikososa, maana walimaliza sifa zooote... Mbumbumbu ni mzigo
 
Kapombe ana Ally Shomari na Tshabalala ana Jamal Mwambeleko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…