Line up ya Simba SC

Line up ya Simba SC

kapombe na boko hapo tumechemka..mkubali msikubali
Kwa streka za kibongobongo. Subiri Boko atakavowaumiza mana simba inaviungo wengi. Na atawaliza mechi ya simba vs yanga. Boko anastamina, mashuti mazito na analijua goli, pia Boko anatumia kichwa chake vizuri. Simba ndio timu inayotengeza nafasi nyingi sana lakini forward ni vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikatai kuwa boko ni mzuri..tatizo la boko ni majeraha yasiyoisha
 
Kwa streka za kibongobongo. Subiri Boko atakavowaumiza mana simba inaviungo wengi. Na atawaliza mechi ya simba vs yanga. Boko anastamina, mashuti mazito na analijua goli, pia Boko anatumia kichwa chake vizuri. Simba ndio timu inayotengeza nafasi nyingi sana lakini forward ni vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Aanze kutupia ku nyavu huko Kigali kwanza ili tufuzu CHAN, vinginevyo ni mshambuliaji anayekimbiakimbia uwanjani tu. Hana jipya.
 
1. Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Salimu Mbonde
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. John Boko
10. Laudit Mavugo
11. Emanuel Okwi

Sent using Jamii Forums mobile app
Enyi mikia fc msio na akili (mbumbumbu) ni nani aliyewaroga? Mlianza vizuri na wachezaji vijana sasa mmerejea kwenye shikamoo jazz!

Ni suala la muda tu, si muda mrefu, Tanzania na Dunia zitashuhudia timu ya wananchi ikichukua ubingwa 4X kiulani kabisa.
 
Mbumbumbu ni wewe na mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom